Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tarehe 06/04/217 Mdogo wangu alipokea Simu kutoka Mahakama Kuu Dsm ikimuulza kama yupo tayr Kurd kazn akasema yupo tayr, sasa amesubr Simu yakuambiwa lini aende kuriport lakn kimya zinaelekea wiki...
0 Reactions
0 Replies
741 Views
Tanzania gold producer Acacia Mining will have to review it's mining operations if the government's ban on gold and copper ore exports remains in place, senior executive said on Thursday. Shares...
0 Reactions
3 Replies
979 Views
Wadau kuna habari zinasambaa kwa kasi sana mitandaoni kwamba sukari imeanza kupanda bei kutoka 2000 mpaka 2500...huku niliko sasa hivi inauzwa 2300 kutoka 2100. Habarini za asb ndugu zangu...
1 Reactions
54 Replies
6K Views
Yaani nimegundua watu wanawaamini viongozi wa dini kuliko wanasiasa. Wakiagizwa kitu kwa mgongo wa Imani wanakifanya kwa moyo wote kuliko kwa mgongo wa kisiasa. Nadhani hawa watu pia wananafasi...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni jambo la aibu sana kuona waziri anayehusika na ulinzi+usalama yuko kimya hadi leo lakini tukio lingewakuta police siku hiyo hiyo angezungumza chechote halafu hizi silaha wizara husika iwe...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Naomba kuuliza kuwa hasa Kwawaislam kunakitabu cha Imam ghazari bin ghazari nakihitaji kwa yeyote aliyenacho plz naomba tuwasiliane Kwa no 0675910997 inshallah
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimesikitishwa sana na taarifa za kuvamiwa kwa wanachama wa CUF na kujeruhiwa kwa baadhi ya waandishi na wanachama waliokuwepo ktk mkutano huo. Siku kadhaa nyuma mkuu wa mkoa alimhakikiashia mh...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Nimeshangazwa na kitendo kilichotokea cha mkutano wa CUF kuvamiwa na watu waliovaa maski na wnye silaha za moto chenye waandishi wa habari. Cha kushangaza zaidi watu hao hawajakamatwa na hakuna...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hello JF, Sijui mnalionaje wazo hili? Mawaziri wasiwe wanateuliwa na mkuu bali uchaguzi wao uwe kama watu wengine wanavyopata kazi. Yaani ajira zitangazwe, kufanyike interview, then whoever is...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Hello JF, Nilikua nadhani, waajiri pamoja na Rais wetu, wasingekuwa wanaajiri watu wa zamani, watu na ma Phd za zamani mno wasingepewa sehemu, lol! Wakati huo walivyokua awarded hizo degree zao...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
10 THINGS YOU SHOULD ALWAYS DO TO SAVE FUEL 1. Accelerate smoothly The perfect way to save fuel is to travel at a steady speed. We recommend a speed of 50mph, and in the highest gear so if you...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ngasa kadai ameshindwa 'kuperformance' sababu sababu alikua anakatwa hela zote. Sasa najiuliza kulikua na ulazima gani wa kutumia kiingereza?! Afu mademu,iv kweli Ngasa angekua ka mimi tu...
5 Reactions
86 Replies
11K Views
MATATIZO mengi yanayotokea kwa binadamu, husababishwa na mwanzo mbaya wa mipango ya maisha yake. Ni asilimia ndogo sana ya matatizo hutokea kwa bahati mbaya tu kutokana na sababu za hapa na pale...
2 Reactions
3 Replies
7K Views
Habari ya asubuhi wadau.... Niko ndani ya gari la abiria, natoka Dar naelekea Arusha... Hali ya hewa ni nzuri kabisa, ubaridi ukichagizwa na rasharasha za mvua.... Safari yangu imeanzia Ubungo...
10 Reactions
76 Replies
5K Views
Hii kitu inauzi sana vijana kweli vijana mmewapa ajira ilikuwa ni kilio chao lakini kwanini mnawafanyia hivi asilimia kubwa ya hawa vijana ajira mpya uwalimu sayansi mpaka leo baadhi ya...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Wakuu , natanguliza salamu , Kichwa cha habari cha uzi huu ndio shida yangu , naomba kufahamishwa .
2 Reactions
43 Replies
6K Views
-Nunua mafuta ya simba -UDI Wa kijiti 4 -Unga Wa baruti -Magome ya mkungu yaliyokauka Changanya mafuta ya simba,baruti,na unga Wa magome ya mkungu Pakaa Dawa hyo kwenye UDI 4 za...
2 Reactions
21 Replies
23K Views
Habari zenu wanajamiii Napenda kukumbusha kwamba Tanzania inapambana sana na vita dhidi ya vifo vya mama na mtoto kabla na baada ya kujifungua. Lakini suala hili bila ushirikiano wako wewe...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Takari ya Leo MAMA BABA YETU NAYE ATAKUFA LINI Hakuna siku niliyojisikia vibaya kama siku moja nipo nyumbani, kama kawaida yangu nilikua nimelewa chakari, nimejilaza kwenye kochi. Hapo ni...
23 Reactions
35 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…