iddy eba
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 573
- 1,171
Wakuu, kuna hali inanitokea sana mpaka najikuta najishangaa 2,labda mimi mtu wa ajabu au vp.. Yani naweza fanya jambo alafu nastuka kwamba nilishafanya hivyo ila sikumbuki mda gani ila nakuwa na uhakika kabisa kwamba nilishafanya tena vile vile bila kukosea step..
Mfano naweza pita njia flani na kukutana na watu alafu hapo hapo picha inajirudia kichwani kwamba nilishapita hapo na kukutana na watu hao hao.. Hivi hii hali wakuu ni ya kawaida au kuna namna?
Mfano naweza pita njia flani na kukutana na watu alafu hapo hapo picha inajirudia kichwani kwamba nilishapita hapo na kukutana na watu hao hao.. Hivi hii hali wakuu ni ya kawaida au kuna namna?