LadyAJ
JF-Expert Member
- Oct 21, 2015
- 7,173
- 9,641
Laiti Tanzania ingelikua na vyama vya wafanyakazi imara vyenye Nia na dhamira ya dhati ya kutetea wafanyakazi basi siku ya Jana isingekwisha bila ya kutolewa tamko la pamoja ya kutoruhusu wanasiasa wabinafsi na wabaguzi kutusogelea siku ya May mosi, hata yeye tungelimpiga stop badala ya kumpa kiki
Nitashangaa sana ikiwa kutakua na wafanyakazi watakaomuonyesha shime shime na kumshangilia, sasa tumshangilie kwa lipi? Kwa kutubagua na kutukandamiza sisi wanyonge wakati akiwainua wachache wenye salary slip za hazina kama za kwetu!! Hii utakua ni maajabu sana sana sana, imefika sehemu unasema Bora ningezaliwa mbwa ulaya kuliko kuzaliwa Binadamu Tanzania