Tanzania yauza na kulisha maharage nchi 10

mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,897
8,350
Hii nimeiona mahali fulani nikaona niwaletee ili mapoyoyo wanaodai sijui kuna njaa,oh sijui hali ngumu ,maisha juu someni na hizi ndio fursa,badala ya kupoteza muda hapa JF tuchangamukie fursa kama hizi kuna kilimo cha aina mbalimbali ambacho kinakutoa wewe kijana mwenye digrii unaepoteza muda kutwa kutembea na bahasha ya khaki kutafuta ajira au wewe kijana ambaye kutwa unalalamika au kuimba wimbo wa sijui kutekwa,mara sijui Bashite,mara sijui Roma,hayo hayakusaidii ,usipoteze muda wako,muda ni pesa,na hao tunaowashabikia kila siku(wanasiasa)hiyo ndio kazi yao wapo kazini na wanalipwa kwa kupiga siasa !

23 APRIL 2017

Tanzania Daily News (Dar es Salaam)

Africa: Beans Galore As Dar Exports Feed 10 Countries

Tanzania Now Sole Beans Producer, Feeding 10 African Countries 
 By Hazla Omar

Arusha — Tanzania exports over a million metric tonne of beans to ten countries in Africa as well as India, making it the sole producer of the important legume to millions of people on the continent.

That was revealed here during a special agricultural experts meeting aimed at addressing the issue of 'Unlocking potential of seed companies to reach smallholder farmers with quality seeds for improved bean varieties,' in Northern Zone of Tanzania.

The Country Coordinator for International Centre for Agriculture (ICA), Mr Jean Claude, said the neighbouring country, Kenya, alone imports over 200,000 metric tonnes of beans every year, a consignment which constitutes the country's 50 per cent of legumes consumption.

Mr Claude listed other African countries depending on beans from Tanzania as Uganda, Rwanda, Burundi, Zambia, Malawi, Mozambique, Zimbabwe, South Africa and the Democratic Republic of Congo (DRC), but again, India across the ocean, is also a good consumer of Tanzanian grown legumes.

But, while beans grown in Tanzania are exported to more than ten countries in Africa as well as Asia, it was pointed out during the meeting that legume production in the country is still far from being satisfactory and hits well below its actual potential, despite commanding good market share elsewhere.

When it comes to beans production, it is Kigoma and Kagera regions that top the bill with each harvesting an average of 90,000 tonnes per season; other precincts in the top seven include Tanga (50,000 tonnes), Kilimanjaro (45,000 tonnes), Geita (35,000 tonnes), Arusha (35,000 tonnes) and Njombe (20,000 tonnes) regions.

Eleven other regions produce around 10,000 tonnes of beans each. The latest total figure for annual legumes production figure for entire country was not readily available, but the area currently placed under beans cultivation has reached over 1.3 million hectares and that nearly 1.5 million metric tonnes used to be harvested in the last few years.

The Principal National Leguminous Crop Researcher, Mr Papias Binagwa, said the consumption of beans among Tanzanians leaves a lot to be desired because, "the consumption per capita stands 19.6 kilogrammes per year which means a person consumes 60 grams a day, which is almost insignificant," he said
 
Heheheheheee....hayo maharage unadhani ni kama yale mnakulaga? Pole.... Njoo arusha utajua
 
kuna kiwanda cha maharage tz
Viwanda avipo, ila tunauza kiholela holela. Wapemba wanafanyiwa na maharagwe wanapaki kwy vifuko vya kg 1, 2, 5, 10. Na kupeleka Seychelles, Comoros, India na sehemu nyingine
Hee Mungu saidia sana sisi watu weusi tupate koneksheni za pesa na mataifa mengine
 
Kijijini kwetu debe la mahindi kwa sasa ni elfu 30, tangu nizaliwe sijawahi ona hiyo...ukiniambia hakuna njaa sikuelewi,kuna upungufu mkubwa wa chakula.
 
Huku nilipo shamba ekeli moja S's hv kung'olea shilingi laki moja. Haijawahi kutokea bei hiyo toka nianze kulima.
 
Viwanda avipo, ila tunauza kiholela holela. Wapemba wanafanyiwa na maharagwe wanapaki kwy vifuko vya kg 1, 2, 5, 10. Na kupeleka Seychelles, Comoros, India na sehemu nyingine
Hee Mungu saidia sana sisi watu weusi tupate koneksheni za pesa na mataifa mengine
magufuli vp
 
unajua unatukejeli sana.hizo fursa zina ofisi maalamu kwamba kama una mawazo au zipo kutaka kujiajiri au kuajiliwa.
hayo unayo sema yanapatikana kibinafsi tu kwa nchi yetu
 
Kwani wapemba sio weusi?
 
Kijijini kwetu debe la mahindi kwa sasa ni elfu 30, tangu nizaliwe sijawahi ona hiyo...ukiniambia hakuna njaa sikuelewi,kuna upungufu mkubwa wa chakula.
tatizo ni kuwa tukipata mavuno basi inakuwa ni kufanya sherehe kwa kwenda mbele hatuweki akiba,mahindi hutumiwa kutengenezea pombe badala ya kuyahifadhi kwa chakula,hatukatai bei kupanda inaweza kutokana na ukame pia ambao hatuna uwezo wa kuuzuia hasa ukizingatiwa ni sisi wenyewe tunafyeka mapori,kwa mtu anayeona mbele huhifadhi mazao yake,kama watu wangekuwa wanahifadhi mazao yao bei ingekuwa chini,bei inapanda kutokana na mahitaji kuwa makubwa lakini kama hakuna mahitaji makubwa bei isingependa?wengi hujisahau ukipata gunia 10unaona nyingi na kuanza kuzifanyia fujo ,halafu baadaye tunaanza kulalamika.
 
Arusha na tanga wanalima sana maharage
Hata Mbeya,kuna maharage ''maji mara moja'',Pia Mbinga na Songea kuna mandondo matamu balaa,ukienda Kagera yapo yale madogo ya manjano,ni uhondo tu
 
unajua unatukejeli sana.hizo fursa zina ofisi maalamu kwamba kama una mawazo au zipo kutaka kujiajiri au kuajiliwa.
hayo unayo sema yanapatikana kibinafsi tu kwa nchi yetu
Endelea kupiga porojo,subiri hapo hapo,wenzako wanakupita Vrooom
 
Hata Mbeya,kuna maharage ''maji mara moja'',Pia Mbinga na Songea kuna mandondo matamu balaa,ukienda Kagera yapo yale madogo ya manjano,ni uhondo tu
Kuna maharagwe mengine meupe. Yapo kagera yanauzwa bei mbaya sana
 
Nina heka 80 ya maharage ya njano.. Yamebeba hadi yanazidiwa uzito yanalala chini. Asee sijui na mm nipeleke wapi nkivuna maana sitaki kuwauzia middlemen tens
 
Back
Top Bottom