Rais Magufuli ashiriki ibada Misa ya asubuhi ktk Kanisa la KKKT Moshi mjini karibu na Stendi

Nachingwea

JF-Expert Member
Jun 21, 2010
261
110
Rais Magufuli ameingia ibada misa ya asubuhi kanisa la KKKT Moshi mjini karibu na bus stand! Inada inangozwa na askofu Shoo.

Ila Magufuli ni kiongozi bora kuliko hata mtanzania yoyote yule sema tu siasa uchwara za upinzani na baadhi ya wahuni wanajaribu kumkwamisha Magufuli.....

Watu wapo tayari kuona Magufuli anafail kwenye uongozi wake.... Hawajui watakao pata shida ni raia
 
Sasa hivi alivyofaulu kuongoza, wanaopata raha ni raia wa Burundi au Rwanda?
 
Ila Magufuli ni kiongozi bora kuliko hata mtanzania yoyote yule sema tu siasa uchwara za upinzani na baadhi ya wahuni wanajaribu kumkwamisha Magufuli.....

Watu wapo tayari kuona Magufuli anafail kwenye uongozi wake.... Hawajui watakao pata shida ni raia
Kiongozi bora huku analinda majambazi ya kutumia silaha za moto kama bashite?! Bajeti ya maendeleo 2016/17 imetekelezwa kwa 40% tu, huo uongozi bora wake unaupima kwa kutukana wapinzani au unaupimaje?
 
Mytake:Milard ayo inamaana hao umeona ni waumini?Mimi nimeona vitoto vya shule vikiwa na uniform!
 
Ila Magufuli ni kiongozi bora kuliko hata mtanzania yoyote yule sema tu siasa uchwara za upinzani na baadhi ya wahuni wanajaribu kumkwamisha Magufuli.....

Watu wapo tayari kuona Magufuli anafail kwenye uongozi wake.... Hawajui watakao pata shida ni raia
Abeli mara ngapi?
 
Back
Top Bottom