EL ELYON
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 1,563
- 1,886
Hili nimeliona watanzania wengi ukiwaambia kuna kazi njoo ufanye anakuuliza atakaa ofisini ukimwambia hapana hataki aisee maisha hayana njia ya mkato waliofanikiwa wote wamepita njia ndefu kasoro watoto wa wakubwa MTU yuko tayari akae miaka kumi hana inshu yoyote kula kulala wakati ungeweza kupata pa kuamkia asubuhi ukiwa huko unaangalia mambo mengine inasikitisha sana sana.