Angalia mkoa/wilaya yako imepangiwa madaktari wangapi

moesy

JF-Expert Member
Oct 30, 2012
3,555
3,535
Orodha ya madaktari ikionyesha halmashauri walizopangiwa.
 
Attachments

  • ORODHA.pdf
    4.7 MB · Views: 173
Angalia pia walioondolewa kwa vigezo vya vyeti feki na watawala/wanasiasa walioachwa wakipeta huku wakipeperusha vyeti feki na kujitambulisha kwa majina ya wengine !!!!!
 
Mazingaombwe
Usishangae Hawa Madaktari
Walimu Halimashauri Walizoea Kupokea Wilaya Moja Walimu 200

Sasa Hivi Walimu 2 Halafu Tunaambiwa Tatizo La Ajira Litakuwa Historia
Hawa Wamepata Ajira Kwa Shukrani Ya High Court Of Kenya Kuzuia Kwenda Kenya Kufanya Kazi
Vinginevyo Yale Yale Ya Vijana 3000 Wa Mahakama Yangewakumba
 
Uchumi umeyumba, hatuwezi tena ajili walimu 200 kwa wilaya.
 
Back
Top Bottom