Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakati mahojiano yanaendelea, Tanesco wamefanya yao. Wamekata umeme. Tafadhali, tunaomba marudio ya kipindi hiki ili kwa wale waliokosa kipindi hiki, aidha kwa kuwa wapo vibaruani au kwa kukatiwa...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa hai kilimanjaro posta ipo??
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Yaani hiki king'amuz cha Azam TV kina kela kwakweli,nipo tu home masaa mawili sasa mvua inanyesha hat kuangalia TV siwezi. Yaani hawa jamaa mvua ikinyesha tu matangazo yanakata,signal zinashuka.Da...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Habari ndugu zangu !! Leo ni Mei mosi hapa Moshi ki ukweli walimu hapa wananishangaza sana. Pamoja na madai yote ambayo hayajalipwa, kutoboreshwa kwa mazingira ya kazi na mambo mengine mengi...
34 Reactions
209 Replies
18K Views
Akitangaza wakati wa sherehe za mei Moshi mjini Moshi Jana Rais Magufuli alisema kuna watumishi wanaonekana walitakiwa wawe wameshastaafu lakini bado wapo kazini kisa waligushi tarehe za kuzaliwa...
3 Reactions
79 Replies
12K Views
nilikuja kufungua account hapo wiki lililopita ila sikupewa card nikaambiwa nitapigiwa simu kuna utaratibu wa kubadilisha card za.Wateja mpaka sasa sijui nitapigiwa simu lini naomba nijue muda...
0 Reactions
0 Replies
773 Views
Mchekeshaji nguli duniani MC Pilipili anastahili kutunukiwa shahada ya udaktari wa heshima kufutia kufanikiwa kuwa-inspire vijana wengi kujiunga na u-MC.
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Natokea huku Vetenary (keko furniture) kuelekea machinga complex, ni masaa matatu sasa gari hazisogei hata nukta, nimeamua kuzima gari kabisa, whats going on?!!!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Salamu kwako wewe uliechaguliwa kupitia mfumo wa TCU lakini huna uhakika kama kile ambacho umekisoma unaweza pata ajira serikalini ama katika taasisi ambazo si za kiserikali. Tangu nilipoanza...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau wetu wa hali ya hewa kwa hivi sasa Utabiri wetu wa hali ya hewa wa kila siku pia utakuwa unapatikana kwenye magazeti ya Daily News na Habari Leo. Fuatilia
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu, Kuna wizi wa kimtandao unafanywa na watu wenye nia ya kutapeli watu. Leo nimepigiwa simu na mtu mwenye namba hizo hapo juu, bahati nzuri sikuwa namsikia vizuri nikamwambia atume...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Mtizamo wangu kama mwananchi wa kawaida juu ya mgogoro wa muda mrefu wa vibanda stand ndogo Arusha. Mgogoro huu ukiutazama katika mtizamo wa kutokua na maslahi yoyote (neutral view) unaweza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi benki kama NMB zimeshaanza kuruhusu watu fresh kukopa?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Je inawezekan kuhamisha kitu kutoka kwenye e mail yangu kwenda kwenye whatsapp natumia simu
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habarini za asubuhi wakuu, Ni siku nyingine tena tunaingia mtaani kusaka mkate wa siku wakati joto la watumishi hewa kupungua maofisini kuanzia leo May 02,2017 likionekana kutawala miongoni...
1 Reactions
22 Replies
6K Views
Wahudumu wa afya hasa manesi mahususi kwa kupima ujauzito, wife wangu ameenda kupima ili aanze klinik cha ajabu anaambiwa ili apimwe lazma mme niwepo, wao wako sahihi ila mm sko tanzania kwa sasa...
0 Reactions
1 Replies
909 Views
Serikali ijitahidi kuzuia vikundi hivi vya wanamgambo, dah huko tunakoelekea Mungu atuepishie jukumu la usalama wa raia na mali zao unaanza kwa raia wenyewe tusichoke kuripoti
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Je ni kweli?Na kama ni kweli,je mayai huharibikaje je?Nataka kujua tu jamani maana mimi ni mgeni humu duniani.
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Taasisi ya Elimu imeandika na kusambaza vitabu nchi nzima kwa ajili ya kufundishia wanafunzi darasani. Pia wanafanya semina katika mikoa mbalimbali kuelekeza walimu namna ya kutumia vitabu hivyo...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…