Habarini Wakuu,
Jumamosi ya keshokutwa dogo langu anataka kununua gari na budget yake ni Mil. 7 tu.
Amekuwa akitaka kununua IST muda mreefu ila akaja kubadikika baada ya kupata RAUM nzuri kweli...
Msaada wakuu, mimi nilifaulu vizuri kidato cha nne na kupata cheti halali bahati mbaya cheti changu cha Diploma nimefoji na ndicho kilinisaidia kupata kazi. Je Bwana mkubwa atanitafuta au...
Hii ni kwa zile benki ambazo mteja analazimika kusimama/kupanga kwanza foleni kupata huduma. Unakuta wakati watu mmesimama foleni, wenzenu wengine wamekaa kwenye benchi wanapiga stori bila...
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Joseph, Lazaro Mbise (23) anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kosa la kukutwa na bastola pamoja na risasi 13 ambayo alimwibia baba yake.
Kamishna wa...
Deni matibabu India balaa
www.ippmedia.com/sw/habari/deni-matibabu-india-balaa
Januari 11, mwaka jana, Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, ikishirikiana na Wizara ya Afya...
Neno feki linatokana na neno la kiingereza 'fake'. Lina maana 'An object or situation that is made to look real or valuable in order to deceive people'. For a example fake passport, fake money...
Honestly chuki si Jambo Jema kuonyesha kwa Binadamu Mwenzanko. Hivyo Basi niseme tu huwa nasikia kinyaa Kuona mtu anachanganya Matumizi ya "L" na "R".[emoji53] [emoji58]
Binafsi nnapokuta Mtu...
Tembo wanne wamekutwa ndani ya eneo la Chuo Kikuu cha Dodoma na kuvutia umati mkubwa wa watu.
TANAPA yasema jitihada zinafanyika kuwarudisha hifadhini.
My take: Naona Tembo nao wameanza safari...
Wajuzi wa mambo,
Kumekuwa na mjadala juu ya vazi wakati wa misiba. Wapo wanaosema vazi jeusi ndio sahihi na wapo wanaosema vazi lolote.
Najiuliza kama vazi jeusi ndio sahihi je ndio utamaduni...
Wanajamvi bila shaka mmeshasikia shirika liitwalo "Popular culture and sports programme", PCSP. Viongozi wake wanasema ndani ya mradi huu wa PCSP kunashirika lililoanzishwa linaitwa "International...
Wakuu naamini mnaendelea vema na majukumu
nakumbuka mapema mwezi januari nilileta uzi hapa kuhusu kuhitaji msaada kwani tulikuwa na safari ya kwenda india kumsindikiza ndugu yangu aliekuwa na...
Tarehe 7/ May nilikuwa miongoni mwa abiria,nikiwa na mtoto wangu 3yrs old tukitoka kumsalimia Babu yake Tanga mjini.
Ajali ilipotokea ni umbali wa dakika 3 mpaka kituo tulichokuwa tushuke. Dereva...
As long as binadamu watakuwepo basi hata mitandao ya kijamii itakuwepo mimi naandika leo hapa wewe unaandika yule anaandika walishaandika wengine kitambo, Leo hawapo tena, nasi kuna siku...
Nimekaa nimefikiria sana kuhusu matukio ambayo nayasikia na kuyashuhudia kila siku kuhusu vituko na unyama wa hawa wanaoitwa 'house girls" hasa kwa watoto wachanga na wadogo.
Hali hii...
Mwimbaji wa Bongofleva Diamond Platnumz ambaye juzi aliandikwa na gazeti la NIPASHE kwamba anadaiwa shilingi milioni 400 za kodi na TRA, amepost kipande cha video fupi ambacho Mbunge wa Mikumi...
Yaani hawa wachina kama ndio uwekezaji wa viwanda unaenda sambamba na hili tujiandaye baada ya miaka kumi kuwa na taifa la watu wa China mkoa wa Pwani kwani kuanzia Mkuranga, Vikindu, Mwalusembe...
Je uliishawahi kujiuliza mlemavu ni mtu wa aina gani.? Je katika maisha yako umewahi kumthamini mtu mwenye ulemavu? Majibu siri yako lakini hebu tupaze sauti ndani ya jamii kupinga unyanyapaa wa...
Tunawaogopa wakenya,warwanda pengine na waganda kwa sababu watachukua ardhi yetu,
Nini kimetuzuia sisi kuchukua hizo ardhi ambazo tunadhani wao watazichukua ?
Pamoja na kuwa na Taasisi za Kilimo...
Unaweka bando ya internet 500 Tsh for a week. Hujafanya download yoyote imeisha. Imenitokea several times.
Acha wizi, TCRA timiza wajibu wenu, msisubiri kupiga faini, tunataka huduma na si faini
Habari za jioni wakuu,
Kwa wale ambao wanatumia mfuko huu wa jamii ningependa kufahamu jambo kuhusu fao la uzazi.
1. Je wanatoa fao la uzazi?
2. Na taratibu zao zikoje?