KYANYINIMARAIGA
Senior Member
- Oct 21, 2016
- 192
- 126
Je uliishawahi kujiuliza mlemavu ni mtu wa aina gani.? Je katika maisha yako umewahi kumthamini mtu mwenye ulemavu? Majibu siri yako lakini hebu tupaze sauti ndani ya jamii kupinga unyanyapaa wa watu wenye ulemavu kwani kuna baadhi ya binadamu wajifikiria kwamba wao kwa vile wana viungo vyote wanatembea ,wanaona vizuri,wanasikia vizuri nk wao hawana shida.kumbe hujafa hujaumbika..Binadamu mkamilifu hayupo isipokuwa yule aliyekufa ndo mkamilifu.je wewe unamchukuliaje mlemavu wa aina yoyote?