Halotel chuo acheni wizi, TCRA take note please

Mie nilinunua ya 1000 MB 1200 usiku saa 4 kesho yake nikakuta MB 680 wala sikuperuzi wala kuangalia video yoyote mtandaoni
 
Unaweka bando ya internet 500 Tsh for a week. Hujafanya download yoyote imeisha. Imenitokea several times.
Acha wizi, TCRA timiza wajibu wenu, msisubiri kupiga faini, tunataka huduma na si faini
Ni kweli kabisa Mkuu
 
Unaweka bando ya internet 500 Tsh for a week. Hujafanya download yoyote imeisha. Imenitokea several times.
Acha wizi, TCRA timiza wajibu wenu, msisubiri kupiga faini, tunataka huduma na si faini
hamia vodacom baba lao
 
Back
Top Bottom