Vazi jeusi kwenye msiba ni utamaduni wa kitanzania au kutoka Ulaya?

Euphransia

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
937
778
Wajuzi wa mambo,

Kumekuwa na mjadala juu ya vazi wakati wa misiba. Wapo wanaosema vazi jeusi ndio sahihi na wapo wanaosema vazi lolote.

Najiuliza kama vazi jeusi ndio sahihi je ndio utamaduni wa Mtanzania au tumeiga kutoka Ulaya?
 
Nyeusi inamaanisha utimilifu. Ulaya imetoka japo naona muda mwingine wanavaa nyeupe
 
Vipi kama hao wazungu wangetengeneza toilet paper nyeusi.sipati picha
 
Waafrika utamaduni wetu ni magome ya miti na ngozi za wanyama ndo mavazi yetu. Zile nguonguo iwe nyeusi au vyovyote tuliletewa na weupe
 
Back
Top Bottom