macho yangu
Member
- Apr 5, 2017
- 51
- 26
Msaada wakuu, mimi nilifaulu vizuri kidato cha nne na kupata cheti halali bahati mbaya cheti changu cha Diploma nimefoji na ndicho kilinisaidia kupata kazi. Je Bwana mkubwa atanitafuta au atatutafuta watu wa aina hii? kidato cha nne 'original' diploma 'fake'