Tofauti yetu na majirani zetu ktk Utafutaji na Harakati za Maisha.

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,735
Tunawaogopa wakenya,warwanda pengine na waganda kwa sababu watachukua ardhi yetu,
Nini kimetuzuia sisi kuchukua hizo ardhi ambazo tunadhani wao watazichukua ?

Pamoja na kuwa na Taasisi za Kilimo kila kona mwa nchi, na Nyingine ni za viwango vya kimataifa lakni Hakuna, Leo ukitafuta kwenye Mitandao au Youtube maelezo Serious kuhusu kilimo au Ufugaji wowote Utayapata kutoka kwa wakenya. Ni kawaida kukuta Watu 1000 wanamizinga ya nyuku 80 au 120 lakini kwa wenzetu mtu mmoja anamizinga ya nyuki 60,000.

Ujanja ujanja wetu tunashindiwa wapi na hawa jamaa wanaotuzuguka katika kukamata fursa zinazotuzunguka hapa kwetu?

Wazoefu mtueleze Tulifikajefikaje hapo, Mbona pamoja na kufahamu hayo bado hatujashtuka?
Ukisoma habari na comment za wengi kama vile hata warwanda pia tunawaogopa, Waganda ukivuka Boarder tu, mtukula wako bize hadi unaingia kampala wako bize mwanzo hadi mwisho.
wakati kutoka Shinyanga Mwanza sehemu kubwa ni mapori yasiyo na Simba wala Swala.
Hongera sana Arusha Moshi angalau ukipita panatia Moyo.
 
Sasa wewe mda wote unatumia wifi ya ccm kusambaza pumba mitandaoni,utaweza kuichukua hiyo ardhi na kuiendeleza?
 
Sasa wewe mda wote unatumia wifi ya ccm kusambaza pumba mitandaoni,utaweza kuichukua hiyo ardhi na kuiendeleza?
Hongereni naona Kule Bagamoyo mnakashamba hata hakuna mmea lakini mnapeana Vyeti.
Rudi kwenye mada, Hapa hakuna CCM wala CDM. Hapa kuna mtanzania.
 
Uvccm leo kidogo umetoa posti yenye maana, ongeza bidii kidogo ili tuanze kuwaheshimu
 
sasa ulikoenda si ungewauliza wanafanyaje,au ulipita tu ?lol
Sikuwa na haja sana ya kuuliza maana najua, UGANDA ni nchi ya kwanza Duniani kuwa na Watu wengi waliojiajiri/Wajasiliamali hata US wala CHINA haiwafikii kwa asilimia(Raia wajasiliamali/Raia wote)
 
Back
Top Bottom