mandella
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,051
- 3,255
Honestly chuki si Jambo Jema kuonyesha kwa Binadamu Mwenzanko. Hivyo Basi niseme tu huwa nasikia kinyaa Kuona mtu anachanganya Matumizi ya "L" na "R".
Binafsi nnapokuta Mtu kaandika Andiko zuri Especially Humu JF halafu nasoma Mistari Miwili nakutana na Changamoto Hiyo Direct huwa najisikitikia kwani nitaacha Kusoma hapo hapo na Hatimae nitakua nimekosa Ujumbe mzuri alikua ana dhamiria kuufikisha .
Wahusika Embu jaribuni kubadilika,mnakwaza wasomaji.
Sijui kwa Nyie wana JF wenzangu kama Mnakwazika na Chamgamoto kama Hizo humu na Kwengineko.