Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

kutokana na matukio kadhaa yanayoendelea ni wazi kuwa nchini kuna tatizo kubwa sana la upungufu wa wanaume(UWAWA) hasa Mafaru Dume. nimekuwa nikikaa na vijana sehemu mbalimbali na kuasikiliza...
6 Reactions
13 Replies
2K Views
Habar Si watembea kwa miguu ndidi ya magar kuacha njia, kufeli break nk Tunakoswakoswa sana barabarani..Nchii ingekuwa na watu makini barabara zingejaa askali na kudhibiti speed, kujaza abiria...
0 Reactions
0 Replies
633 Views
JIWE LINALOCHEZA NA UPOTOSHAJI WA SIMULIZI! Mara nyingi sana simulizi huwa zinapotosha sana uhalisia wa habari, hasahasa kama tukio likiwa mbali sana na msimuliwaji au kama ni jambo lililotokea...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wandugu nimeitoa mahali Kwa miezi kadhaa sasa nimekuwa nikipata jumbe zihusuzo nchi yetu TANZANIA. Na baadhi nimezisema kanisani na tumeanza kuomba. Niliahidi kuelezea vizuri kama BWANA akinipa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huu msukumo unatoka pande zote kuanzia serikalini hadi kwenye taasisi za kibinafsi kumekuwa na msukumo mkubwa sana-kuna nini nyuma ya pazia juu ya hisa hizo?? rafiki yangu anayefanya kazi...
1 Reactions
56 Replies
6K Views
Utafiti wangu unaonyesha yakuwa hospitali nyingi za private hapa nchini hazina madaktari wa kudumu bali zinategemea madaktari wa serikali kutoa huduma ktk hospitali zao! Ktk miaka michache ya...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wana jamii hawa trafiki wanaokaa barabara ya kuelekea kilolo mkoa wa iringa hawana msaada wowote kwa abiria.Magari yanayobeba abiria ni mabovu sana, wanasubiri yauwe watu ndo wajifanye...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametia saini muswada unaowaruhusu wakopeshaji kutumia vifaa vya nyumbani mimea na mifugo ili kujipatia mikopo. Sheria hiyo kwa jina Movable Property Security Acto...
0 Reactions
0 Replies
734 Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu, Hili jengo pamoja na mazuri Yake ndani , but jengo halina maji siku ya 6 leo harufu toka vyooni ni kero tupu. Wahusika embu fanyeni mchakato mnakera..
0 Reactions
0 Replies
914 Views
wanajamvi mnaonaje watanzania tukaanzisha utamaduni wa kuingia kwenye kumbi za sinema kama pale Quality Centre na mahindi ya kuchoma badala ya pop corn. unajua mahindi ya kuchoma ni fresh kutoka...
7 Reactions
47 Replies
20K Views
Ten Tanzanian Multi-Millionaires You Should Know
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Shahidi wa tano katika kughushi mukhtasari wa serikali ya mtaa Levolosi jijini Arusha,Joachim Kivuyo amekiri kuutambua mukhtasari uliofanikisha utengezaji wa hatimiliki ya kiwanja nambari 231...
1 Reactions
0 Replies
742 Views
Kwa watumiaji wa kituo cha mabasi cha mawasiliano bila shaka wanaeza kuwa mashahidi wa nitayoyaeleza hapa kwa ufupi kipande cha barabara ya kuingilia hiki kituo ukitokea barabara ya sam nujoma au...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nimekuwa nikijiuliza Sana... Hivi Kwa nini wadada wakijiselfie wanakodoa Macho au Wanabinua makalio au Wanabinya Midomo kama Wanafyonza? Siku hizi kuwa na Mwacho Makubwa nayo imekuwa deal..
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Mimi nilidhani tumepata uongozi ambao utaonyesha mabadiliko ukilinganisha na uhuni ule wa akina Mkoba, lakini nimeshangaa sana kuona TUCTA hii ya sasa huku inakoelekea... TUCTA imepanga kuonana...
0 Reactions
1 Replies
781 Views
"Never Dont commit such a heinous crime!an elderly woman advised pregnant rose,who had come to consult the doctor in connection with aborting her baby. "After hearing that mother,s plea,thank...
1 Reactions
0 Replies
449 Views
Mwaka 2012 nilikua nabet sana, nilikuwa naweka 500 mpaka 1000 kwa siku. Nilikua nabet kipindi cha likizo, kipindi nipo advance, ela ya tution mchikichini kwa mgote ndio nilikua naipunguza ili...
13 Reactions
42 Replies
11K Views
Wakuu poleni na majonzi na maombeleo yanayoendelea kwa kuondokewa na wanafunzi. Nimefuatilia sana hotuba za waziri wetu mkuu lakini nikagundua kitu kimoja kwanza harakaharaka ukamwangalia vibaya...
19 Reactions
222 Replies
30K Views
MSISIMKO WA UWEKEZAJI NA VODACOM TANZANIA. Baada ya kuwa wa kwanza katika kujiandikisha katika soko la hisa Kampuni ya Vodocom, Imetoa nafasi kwa wananchi wa kawaida kuweza kumiliki kampuni...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Week hii hapo Kenya kuna mshikaji wanamuita Samuel Abisai alitangazwa kuwa ameshinda mipesa zaidi ya 4.7 Billions za TZ baada ya kubeti na kupatia matokeo ya mechi takribani 17 kwa kuweka dau...
1 Reactions
16 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…