Selfie za Wadada

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,930
4,909
Nimekuwa nikijiuliza Sana... Hivi Kwa nini wadada wakijiselfie wanakodoa Macho au Wanabinua makalio au Wanabinya Midomo kama Wanafyonza?

Siku hizi kuwa na Mwacho Makubwa nayo imekuwa deal..
 
Lengo ni kupata picha bora kabisa wapate "likes" nyingi kwenye mitandao.

Lakini si wote wanaojali sana vile watu wanasema nini kuhusu muonekano wao

Ni vijimambo tu broh

We do so much to impress people who don't care about us for material things we don't need for reasons we don't know.

Wakinadada wafahamu ni poa kuwa na mwonekano bora, pia ni sawa tu kuwa huru na vile unaendesha maisha yako lakini muhimu zaidi jiulize are you happy?

Je furaha yako inatoka ndani au ni vile tu kujionesha kwa watu angali ndani yako ni mtupu?
 
Ili si huwa unapenda?


Huwa nashangaa tu jinsi wanavyopiga wamepindisha shingo Mara Mdomo wameuweka Kama wanavyoza Pipi, Mara anajikunja ili walau hata tako lionekani yaani Hata Kimbaombao utakuna kwenye Picha ana kijungu Kutana naye sasa... Duu...

Unakuta kwenye Macho Amepiga Picha ya mguu wa Kihaya ukikutanaye Kilombero yaani Hizo Mambo za Nikki Minaji zinatuharibia Manzi wetu Aisee
 
e98b54e5a8afe4a14cfc90cf1e164757.jpg
 
Back
Top Bottom