Pamputi
JF-Expert Member
- Apr 22, 2016
- 982
- 724
Kwa watumiaji wa kituo cha mabasi cha mawasiliano bila shaka wanaeza kuwa mashahidi wa nitayoyaeleza hapa kwa ufupi
kipande cha barabara ya kuingilia hiki kituo ukitokea barabara ya sam nujoma au ukitokea kituo cha mugabe imeshindikana vipi kukarabatiwa??
Hiyo nmeitoa kama mfano tu lakini zipo barabara zingine katika jimbo hili ambazo ni muhimu pia lakini hali yake ni mbovu mno. Sasa tunajiuliza mbunge yuko wapi?,mayor yuko wapi?,madiwani wa hili jimbo wako wapi? mamlaka za jiji ziko wapi ?
Wahusika lazima wapo humu maana wengine tunawaona kutwa instagram na picha na kina harmorapa tupatieni majibu tafadhari
Nawasilisha