CCNP Engineer
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 463
- 1,286
Week hii hapo Kenya kuna mshikaji wanamuita Samuel Abisai alitangazwa kuwa ameshinda mipesa zaidi ya 4.7 Billions za TZ baada ya kubeti na kupatia matokeo ya mechi takribani 17 kwa kuweka dau lisilozidi 4000 za TZ kupitia kampuni ya Sportpesa.
Nimekaa chini nikatafakari, nikatumia slogan ya "Use common sense"
(mliosoma Tabora Boys mnakumbuka).
Hivi kweli katika hali ya kawaida, uchumi, na pesa ilivo ngumu hivi, mtu unaweza kubeti na kushinda Billion zaidi ya 4 na ukapatiwa pesa hizo??
Sio kwamba hii ni mbinu ia kibiashara kuvutia wateja (hasa vijana)
Kwamba marketing manager na timu yake wanatafuta mtu wanapanga ikibidi kumpa pesa kiasi hata million 50 hivi, then wanamtangaza kuwa ameshinda mapesa mengi sana ili tu vijana wakiona hivo waseme 'Kumbe inawezekana mazee, ngoja tuendelee kubeti"
Kwa wale wazoefu wa kubeti (na mnaofanya kazi kwenye kampuni za betting)
mnaweza kutoa ushahidi ni kiwango gani kikubwa cha pesa ulipata kushuhudia mtu ameshinda kwa kubeti... na aliweka dau la shingapi....
Maana mimi naonaga vijana wana beti tuuu lakini sioni maendeleo yoyote wanayopiga.
Leo wanabeti, kesho wanabeti, kesho kutwa hivo...
Binafsi nilijaribu kubeti mara 5 hivi (kupitia m-bet) nimeliwa 4 nimekula 1 tuu..
Nikakata tamaa nikaacha. Lakini baada ya kusikia mtu kashinda Billioni 4 (japo sio TZ) nimeanza kupata mzuka.
BAADA YA MAELEZO HAYO, HOJA ZANGU NI MBILI TU:
1. Ni kweli watu wanaotangazwa wanakua wameshinda ama wanaandaliwa na kulipwa kitu kidogo ili kutuvutia wateja
2. Je umewahi kushuhudia mtu yeyote hapa TZ akila kiasi gani kikubwa cha pesa
Karibuni Vijana wenzangu. Mida ya Kube Kube Kubeti (Timba mtu mbayaaaaa!!)