Hospitali za private na madaktari wa kukopa

Mtetezi.com

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
3,134
3,580
Utafiti wangu unaonyesha yakuwa hospitali nyingi za private hapa nchini hazina madaktari wa kudumu bali zinategemea madaktari wa serikali kutoa huduma ktk hospitali zao!
Ktk miaka michache ya nyuma zilikuwa zinafanya vizuri sana mana madaktari wa serikali walikuwa wanatoroka kazini na kwenda private kwa kuwa hakukuwa na usimamizi imara wa wafanyakazi!
Miaka ya hivi sasa (Magufuli reign) imekuwa tofauti na hii ni kwakuwa kuna udhibiti na usimamizi makini wa wafanyakazi wa uma hivyo hospitali nyingi za private huduma zimedorora sana!
Hivi ninavyoandika ujumbe huu nipo hospital moja ipo opposite Muhimbili inaitwa PCMC nasubiri huduma toka asubuhi kumbe wanategemea mpaka jioni Dr atoke kazini ndio aje kutoa huduma duuh!
Nimekimbia huduma mbovu hospitali za uma nimekimbilia huduma nzuri na za haraka private but kwa sasa imekuwa kinyume!.

My take hospitali za private zitafute mkakati utakaoziwezesha kuajiri madaktari wao wa kudumu.
 
Back
Top Bottom