kalimanzilajuma
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 323
- 314
Ndugu wana jamii hawa trafiki wanaokaa barabara ya kuelekea kilolo mkoa wa iringa hawana msaada wowote kwa abiria.Magari yanayobeba abiria ni mabovu sana, wanasubiri yauwe watu ndo wajifanye waanze kutoa matamko. Leo gari limepita mbele yao taili la mbele halina upepo wala hawana habari