Quality Center Mall: Hebu fikiria hiii Mall haina maji kwa toilet

mavado

JF-Expert Member
Jun 25, 2014
1,153
798
Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Hili jengo pamoja na mazuri Yake ndani , but jengo halina maji siku ya 6 leo harufu toka vyooni ni kero tupu.

Wahusika embu fanyeni mchakato mnakera..
 
Back
Top Bottom