Ajali nje nje barabarani

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,162
794
Habar

Si watembea kwa miguu ndidi ya magar kuacha njia, kufeli break nk

Tunakoswakoswa sana barabarani..Nchii ingekuwa na watu makini barabara zingejaa askali na kudhibiti speed, kujaza abiria nk

Huu ni wkati mbaya sana kwa magar yanayotanua kwa sababu njia pembezoni imelegea so ni rahisi sana kubomoka

Cha ajabu hakuna chochote
 
Back
Top Bottom