Kwanini kumekuwa na Msukumo mkubwa kuhusu ununuzi wa hisa za vodacom ??

Econometrician

JF-Expert Member
Oct 25, 2013
16,627
30,606
Huu msukumo unatoka pande zote kuanzia serikalini hadi kwenye taasisi za kibinafsi kumekuwa na msukumo mkubwa sana-kuna nini nyuma ya pazia juu ya hisa hizo??
rafiki yangu anayefanya kazi serikalini ameniambia wameshauriwa na kuhimizwa kununu hisa hizo??.Kuna makampuni lukuki ambayo yameorodheshwa kwenye soko la hisa la dar es salaam,kwa nini hisa za vodacom??
 
kuna uzi mmoja humu ulikua unaelezea juu ya kudoda kwa hisa za voda hadi wakaamua kuongeza muda wa IPO, maana deadline ilifika lakini kulikua na undersubscription hivyo wakaongeza muda. ila hakueleza sababu ya kuwepo huu msukumo mkubwa...
 
Hisa zimedodo mkuu..kwa hal mbaya ya uchumi huu nan anataka hasara.ilo kampun kilasiku inadrop.
 
Naomba Msaada nataka kujisajili kwenye Dar es salaam stock exchange kupitia simu , naishia kutuma Majina 3 naambiwa TAFADHALI SUBIRIA week nzima naambiwa hivi hivi, Tatizo ni nini. Kama kuna njia mbadala Naomba mnisaidie
 
Mkuu nenda kwenye ofisi zao direct labda watakusaidia
 
Hawa DSE ni wachovu sana nahisi pale kutakuwa na watu wenye vyeti feki
Mwaka juzi nilinunua hisa za Swissport kupitia wakala wangu ambae ni TLS chakushangaza certificate ya umiliki ambayo hutolewa na DSE ilichukua miaka miwili kupatikana kila nikienda kwa wakala wangu naambiwa bado
Tofauti na NYS ambao ukinunua hisa pale pale unapata certificate yako na ukitaka kuuza hisa zako mida hiyo hiyo unauza bila kupoteza wakati hii biashara ya hisa naona DSE ni kikwazo katika hii biashara
 
mmh Tanzania urasimu umezidi ndio maana hatuendelei
 
Back
Top Bottom