Zero IQ JF-Expert Member Dec 21, 2016 13,959 24,910 May 13, 2017 #2 Hela yako tu unawez kwenda Asubuhi SAA NNE unapata ila ukijifanya unataka kufata sheria utasota
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,651 71,008 May 13, 2017 #4 Nenda ofisi ya RITA kwa msaada zaidi mkuu
M Molembe JF-Expert Member Dec 25, 2012 9,917 11,799 May 13, 2017 #5 Siku moja tu unapata cheti chako.