Kwanini wanawake wanaona aibu hata wakiwa wenyewe?

T 1984 CON

Member
Apr 15, 2017
49
81
Habari wakuu,

Itifaki imezingatiwa.

Kwakuwa jukwaa ili nikubwa nikimaanisha na walengwa wapo ningependa kupata majibu ya maswali nayojiuliza kila siku. Ofisini kwetu kuna tinted moja kali sana ya oneway (yaani ukiwa ndani unaona nje na ukiwa nje huoni ndani) huwa nashangaa kuona wadada wanapita yuko peke yake lakini ana tembea kwa kutojiamini na kwa haibu sana.

Sasa uwa najiuliza wanatatizo gani?

Nawasilisha!

* Peponi sio Mbinguni
 
Labda mabazazi mko wengi ofisi hiyo...hivyo wadada wanajihami mapema.
msije mkawa dunga dunga.
 
Najiuliza, kutembea Kwa aibu kukoje hadi mtu atambue unatembea Kwa aibu!
 
IMG_0925.JPG
Ni hao waliokuzunguka tu, never generalize!
 
njoo huku kwetu mwanamke anakukodolea macho balaa wala hyo aibu hana huyo uliyemwona ww itakuwa bado hajaanza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom