Mr. MTUI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 8,130
- 8,351
Kuuna jamaa (Jirani) alitupa ndonga kwenye DUSTBIN ile asubuh baada ya mgegedo.. Kaenda kazini huku nyuma mapaka yakapita yakamwaga uchafu wote wa kwenye dustbin . Sasa ndonga zimepulizwa na upepo na zimezagaa uwanja mzima zikimsubiri jamaa arudi jioni kutoka kazini ndo azitupe....