Hawa viongozi wakimbiza wengi hutokea wapi?

bnhai

JF-Expert Member
Jul 12, 2009
2,824
2,381
Wanajamvi, naomba kufahamishwa hawa viongozi wanaokimbiza mwenge wanapatikana vipi na wapo kisheria katika katiba?

Wakimaliza kukimbiza mwenge huwa wanakwenda wapi?

Vigezo vyao ni vipi? Kuna ofisi ya Mwenge ya Kitaifa inayoratiba huo Mwenge?

Note: Heading Isomeke Mwenge
 
Nchi ikiwa chini ya chama tofauti na CCM itakuwaje? mamlaka yao yanaishia wapi? Maana huwa wanawaagiza hata wakuu wa mikoa.
Nimecheka siku moja jamaa wa mwenge kagomea kufungua jengo kisa ubadhirifu wa ujenzi wacha amchimbe biti mkuu wa mkoa, mkuu wa mkoa akawa mpole shingo chini kama anasubiri kuchingwa, hadi nikajiuliza hawa jamaa limit yao ni wapi katika chain ya uongozi?
 
Back
Top Bottom