Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,301
- 8,693
Ndugu zangu WanajamiiForums Nimekuwa katika wimbi la kutenda Dhambi kwa vitendo ata kwa mawazo pia! Lakini Nimejikuta Nafsi inanisuta sana japo najikuta nimetenda.
Kwa Mfano Mwenzenu mimi Nikifanya Ngono Baada ya Hapo Huwa sijisikii sawa Kabisa yaani Nahisi Nafsi yangu Inajutia Kile Nilichokifanya Lakini Ikatokea Nikasaidia mtu kwa lolote au kumsaidia asiejiweza basi Nafsi yangu inakuwa na amani sana!
Lakini pamoja na yote nimekuwa nikipotezea hizo feelings na kuendelea kutenda dhambi basi leo nimetafakari na kuwaza nikahisi kabisa Mungu Yupo Upande wangu Ndio Maana nikitenda Dhambi Roho inanisuta na kwa mimi Kujinyenyekeza kwake Natubu kwake na nina Imani Nitapata Msamaha wa Bwana.....Ila kuanzia Leo naahidi sintotenda dhambi ya Makusudi!
Ee Mwenyezi Mungu Baba yangu Muweza Yote Naomba Unipokee Tena! Nimebadilika!
Amina!