Nataka nifungue kanisa la KAYA CHURCH..

kanyela mumo

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
2,034
2,115
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu.

Nataka kufungua ili kanisa la kufa na kuzikana tu. Na pili kanisa hili litasimia misingi ya amri kuu Upendo na kuto kukata TAMAA katika Maisha hasa sie vijana.

Kanisa ili litatengenezea uongozi kutoka katika makundi yote yaliotengwa na jamii, kama watumia Kaya. Moja tutashauli serikali ibadidilishe sheria na ipitishe kilimo cha Kaya Nchini ili kuinua wakulima kwa kiasi kikubwa. Na wakat huo barozi zetu za njee zitafute masoko kwa Nchi zinazo bariki zao kwa shughuli mbali mbali, na ukiangalia ardhi yetu zao ili linakubali vizuri.

Tukipata masoko njee naimani hapa Nchini itakuwa hadimu na thamani yake itakuwa kubwa hivyo haitapatika kwa hurahisi kwa vijana ambao ni nguvu kazi.

Vituo vya watoto Yatima tutanzisha vingi na kufungua shughulili mbali mbali ambazo zitafanya wajitegemee kwa Elimu na maitaji yao. Moja vitu tutakavyo wafunza uchongaji wa vitu, kazi za mikono kama kutengeneza cuture mbalimbali zenye asili ya Tanzania na Afrika kwa ujumla, na pia soko letu tuingiza katika makampuni makubwa kama Alibaba na Ebay.

Elimu kubwa katika kanisa ili ni Upendo, mtu yoyote utaruhusiwa kuendesha misa kama kanisa litapitisha. Na pia michezo na aina ya malezi kwa watoto na wanandoa ni nguzo kuu katika kanisa hili.

Litasajiri watu wote katika kada mbali mbali, kama watu waliotoka katika vyuo vya serikali na wenye uzoefu katika ufundi ili kutanua uchumi wa kanisa na watu mmoja mmoja. Kupitia mikakati mizuri kanisa linavyo jiongoza. Kila sekta itatambulika kwenye serikali, na kufungulia kampuni inayojiendesha.

Sifa za kuwa muhumini ni kuwa mkweli juu ya maisha yako ili ukiinuka watu wote wajue umetokea wapi. Kila kitu kitaendeshwa kwa ushirikishaji ilimladi uwe mwanachama. Misiba ni asilimia 100 tutausimamia ila ni watu wa group moja tu, wewe mke au mume, watoto tu na ndugu wawili waliothibitishwa kwa vyeti vya kuzaliwa.

Moja ya vitu tutakuwa navyo ni ••)

1. Michezo yote na kwa ngazi zote, kwa kutumia malegendary.

2. Kazi za mikono kupitia youtube na kubadilisha muonekano kupitia vikorombwezo tulivyo barikiwa Afrika.

3. Kilimo cha umwagiliziaji na kupata dhana bora za kilimo kupitia mikopo ya wanachana wawekezaji wanaotaka kufanya biashara katika chama.

4.kuwekeza katika mkondo wa treni mpya inayojengwa na kushirikiana na wakulima wa maeneo hayo, kama kanisa kukodi wataalam wa kilimo kinachoitajika sehemu hizo usika.

5. Kwa ujumla kila secta kugusa mpaka kuwekeza maeneo ambayo yameendelea kama katoro mkoani Geita kufungua mochwari na kumpa ajira mtu ambae anatambulika na serikali bila kusahau bei zinazoendana na utu wa mwanadamu.

Naweza kusimamia yote haya naombeni mnipe njia bora ya kufikia lengo.


Bob Marley alisema ONE LOVE, misingi na sela zitachukuliwa baadhi za JESUS wangu BOB MARLEY.
 
Back
Top Bottom