Kijana wangu anamaliza degree nchini Malaysia. Ushauri naomba

baba anjela

JF-Expert Member
Mar 17, 2013
431
310
Ambacho nauliza ni utaratibu uliopo sasa ukoje.

Yeye alimaliza form four akapata division 3. Nikampeleka Malaysia akafanya faundation course one year then akajoin bachelor degree for three years je degree yake wataikubali Tanzania?
 
Ambacho nauliza ni utaratibu uliopo sasa hukoje....

Yeye alimaliza form four akapata division 3... Nikampeleka malaysia... akafanya faundation course one year...then akajoin bachelor degree for three years..je!! Degree yake wataikubali Tanzania....
Kama hicho chuo kinatambuliwa na TCU then hakuna tatizo lolote
 
Mkuu Taja Hicho Chuo Anachosoma Kijana Wako Pia Hapa Hapa Jf Utapata Ufumbuzi
 
Swali ni je, hao TCU watakubali bachelors degree bila cheti cha form six? Coz nakumbuka wanahitaji documents zote kuanzia form four, six na chuo. Hakuna documents za foundation course wanazohitaji.

Au ingia kwenye webpage yao utapata majibu zaidi, coz uhakiki unafanywa online baada ya malipo.
 
Ambacho nauliza ni utaratibu uliopo sasa ukoje.

Yeye alimaliza form four akapata division 3. Nikampeleka Malaysia akafanya faundation course one year then akajoin bachelor degree for three years je degree yake wataikubali Tanzania?
Amesoma kozi gani kwanza?

Kwa ushauri tu, hii nchi imekua ya ajabu sana! hata kama wakiikataa mwambie ajiajiri na hapa itategemea kozi aliyosoma au akafanye kazi kwenye private institutes!
 
Jamani wazazi wenzangu kwa kuwasaidia watoto wetu msipeleke watoto nje kusoma kabla hamjafanya utafiti kuhusu accreditation ya Vyuo husika na msimamo wa TCU kwa hivyo vyuo. Ile kasumba ya mtoto anafeli form four/six unampeleka nje kwa sababu mzazi ana mpunga..iachwe kabisa! Otherwise unamuumiza mtoto bila kujua.

I have a friend alifeli form four hapa bongo. Akaenda nje akafanya hizo foundation courses. As I write now, jamaa ana MBA na amerudi nyumbani. Lakini sasa na hili saga la JPM la vyeti fake my friend is VERY worried (so far yuko private sector). Lakini hali ni tete.

I have also experience. Watu especially watoto wa wakubwa waliotimkia US na UK miaka hiyo..wengi walienda wakasoma community colleges kwa degree za kuungaunga. Leo wamerudi home. Na ajira zinavyosumbua..usije shangaa serikali ya JPM inakwambia ...eee bwana cheti chako ni cha kuungaunga hakitambuliki. Hapo kama mzazi umesha invest millions and millions.

Be warned. Elimu ya kuungaunga haina nafasi tena kwenye hii serikali ya JPM!

Masanja
 
Una utani na Le Mbebe mwenyewe anajivunia hiyo dwgree ya community Uni kama alisoma Harvard vile
 
Back
Top Bottom