Foleni ya mzani Vigwaza msaada unahitajika

Foleni ya mzani Vigwaza msaada unahitajika

sambu

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
285
Reaction score
284
Tunaambiwa mzani una hitilafu. Kwa wanaotoka Dar foleni sasa inakaribia daraja la reli Ruvu. Nona hata trafic wamezidiwa. Labda baadhi ya malori yapite bila kupima. Magari toka Dar yameziba njia nzima pande zote.
 
Huo mzani si ilitabiriwa kuwa moarobaini sijui msitini wa tatizo la foleni mizanini?
Such failure is holistically
 
Back
Top Bottom