Naona mabenki zaidi sasa yameanza kujitangaza runingani

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
7,111
10,214
Naona mabenki kadhaa sasa yanajitangaza tofauti na hapo awali,hii inaweza kuwa inamaanisha lolote as far as hali ya uchumi ya sasa is concerned?
 
Back
Top Bottom