Toga
JF-Expert Member
- Oct 21, 2015
- 521
- 459
kuna ajali ya train deluxe imepata ajali eneo la Nguruka Kigoma ila tunamshukuru Mungu hakuna alie umia sana ni majeruhi Wa kawaida Tu mabehewa matano yamelala chini
=======
AJALI YA TRENI KIGOMA: Treni ya abiria kutoka Kigoma kwenda Dar es Salaam yapata ajali Nguruka, RPC Ferdinand Mtui athibitisha.
=======
AJALI YA TRENI KIGOMA: Treni ya abiria kutoka Kigoma kwenda Dar es Salaam yapata ajali Nguruka, RPC Ferdinand Mtui athibitisha.