Hasa kwa kuvunja tofali sikukuuyah,jeshi letu imara
Wengi wanadhani jeshi bora ni lenye zana nzuri, hawajui silaha bora ni akiliJiulize marekani wanazana mzuri sana kwanini walikimbia somalia?
Kwani marekani alipeleka jeshi Somalia?!Jiulize marekani wanazana mzuri sana kwanini walikimbia somalia?