Namna ya Kujisajili na CRDB SIM banking.

kaeso

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
548
Reaction score
97
Wakuu naomba msaada wa namna ya kujisajili na huduma ya kuaccess taarifa za akaunti ya CRDB kupitia simu. Nipo wilaya isiyo na benki ya crdb kikazi na nahitaji kujua kama mwajiri wangu kaniingizia kamshahara kangu! Asanteni..
 
Ingiza *150*03# kwenye simu yako na utapata maelekezo ya kufuata.
 
Ukisha bonyeza *150*03# then ok itakwambia hujajisajiri so utachagua kujisajili either kiswahili au kiinglish. Itakwambia uingize namba za kwenye kadi yako ya ATM,hlf utaingiza trh ya mwsho ya ukomo wa matumizi ya kadi yako..mfano ni tarh 11 mwezi wa 8 utaingiza 1108 bila kuongeza chchte then utaendelea...
Wakuu naomba msaada wa namna ya kujisajili na huduma ya kuaccess taarifa za akaunti ya CRDB kupitia simu. Nipo wilaya isiyo na benki ya crdb kikazi na nahitaji kujua kama mwajiri wangu kaniingizia kamshahara kangu! Asanteni..
 
Ukisha bonyeza *150*03# then ok itakwambia hujajisajiri so utachagua kujisajili either kiswahili au kiinglish. Itakwambia uingize namba za kwenye kadi yako ya ATM,hlf utaingiza trh ya mwsho ya ukomo wa matumizi ya kadi yako..mfano ni tarh 11 mwezi wa 8 utaingiza 1108 bila kuongeza chchte then utaendelea...
Asante nimefanikiwa kwa laini yangu ya airtel..
 
Ukisha bonyeza *150*03# then ok itakwambia hujajisajiri so utachagua kujisajili either kiswahili au kiinglish. Itakwambia uingize namba za kwenye kadi yako ya ATM,hlf utaingiza trh ya mwsho ya ukomo wa matumizi ya kadi yako..mfano ni tarh 11 mwezi wa 8 utaingiza 1108 bila kuongeza chchte then utaendelea...

Asante nimefanikiwa na line yangu ya Vodacom
 
Kweli voda hazikubali, nimejaribu mara kadhaa bila mafanikio hadi nilipobadili laini ya airtel ndio ikakubali..
Kwenye language selection unafanyaje kuchagua 1,2 au tatu? Unajibu kama message au unabonyeza tu number?
 
Inabidi kurudia rudia ndo inakubali, mi mwenyewe mara ya kwanza iligoma kwa line ya Voda. Tatizo wanakata ela unapo sign in, mbaya siku upo porini na unataka kununua credit af sim yako salio ni sifuri so haitasaidia chochote hy SimBanking, bora wakate after transaction ila huduma nimeipenda sana.
 
Samahani wakuu namba ya kadi ya benki ni ipi maana naona kuna group la namba kama 4 hivi au ndo account number
 
Back
Top Bottom