Tatizo la mtandao wa Halotel

kitumbotala

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
516
623
Wakuu habari za wiki end,

Nimeamka na kukuta Halotel SMS hususani za WhatsApp hazitoki kabisa na Network yao ipo chini. Je hii inaweza ikawa ni hujuma ya upinzani?

Mwenye jibu tafadhali
 
Wakuu habari za wiki end,

Nimeamka na kukuta Halotel SMS hususani za WhatsApp hazitoki kabisa na Network yao ipo chini. Je hii inaweza ikawa ni hujuma ya upinzani?

Mwenye jibu tafadhali

Upo mkoa gani?

Au umeishiwa kifurushi?
 
wafanyakazi wa tigo na voda bana tangu muambiwe mnapunguzwa wafanyakazi basi kutwa kutunga figisu kwa halote acheni umbuzi mbona rai tunatumia halotel fresh tuu
 
Back
Top Bottom