TBC1 kwanini mnatunyanyasa sisi tunaotumia Tv za kisasa?

ESCORT 1

JF-Expert Member
Dec 7, 2015
1,368
2,890
Shirika la Utangazaji Tanzania kupitia Chaneli yake ya luninga ya TBC1 inatunyanyasa sisi watazamaji wake tunaotumia Tv za kisasa kama Flat screen za aina mbalimbali.

Ukiangalia vipindi vya Tbc1 kupitia Tv hizi za kisasa ni wazi ni kama unaangalia Chaneli za kipindi cha mkoloni au vipindi vya enzi ya awamu ya kwanza ya mwl Jk Nyerere.

Graphics ni mbovu sana tena za kutukuka inayokufanya mtazamaji ubadili stesheni bila kupenda. Yaani wamezidiwa hata na ZBC2 ya visiwani.

Mkurugenzi wa TbC l,Ayoub Ryoba badilika Muraa, vinginevyo mnatulazimisha turudi kutazama Tv za chogo ili tuwapate vyema.
 
Tbc1 c iko kwenye 'makavazi' hivi nayo ni ya kuilalamikia kweli? Be serious mkuu hyo station ishafikia 'expering date' cku nyingi sana ww ndo umenikumbusha leo kuwa kulikuwa na kituo kiliitwa tbc1.
 
Back
Top Bottom