Hii machine kwa hapa Tanzania unaweza kuipata wapi?

Kidume cha mbegu

JF-Expert Member
Jun 14, 2015
1,251
709
Naombeni msaada wa kupata hii machine kwa hapa Tanzania. Je unaweza kuipata mkoa gani?
 

Attachments

  • VID-20170513-WA0005.mp4
    3 MB · Views: 39
Zipo,kuna jamaa wapo Tanzania wanauza wanazitoa China niliona tangazo Lao Facebook.
 
Zipo,kuna jamaa wapo Tanzania wanauza wanazitoa China niliona tangazo Lao Facebook.
Mkuu nitawapataje? Nitauza hata gari yangu niniunue hiyo machine. Serious. Mwenye kujuwa aje hapa kwa faida ya wengi. pia serikali yaweza kuagiza kama pembejeo nyingine kama mbolea inavyofanya.
 
mgongoni kabeba jenereta au ? nasikia mngurumo wa mashine kama ya wese? sasa kwa vihatua vidogovidogo si itakuwa inakula sana wese?
 
Mashine nzuli sana ula pengine nguvu inayitumika si nisawa na jembe LA mkono jumlisha kubeba hiyo jenereta mgongoni
 
Back
Top Bottom