Mti wa ajaba wa Mwembe, Dozer D8k limeshindwa kuung’oa hapo ulipo, chain sawa imeshindwa kuukata, shoka limeshindwa kuuwangusha. Inasemekama hata Nyanza Road Works imebidi wauwache kama ulivyo...
Tangu daladala zizuiwe kwenda maeneo ambayo gari za mwendokasi zinaenda vituo hivyo vimekuwa vikajaa watu wengi sana kipita kiasi.
Kibaya zaidi, mrundikano huo wa watu hauna ulinzi wa kutosha...
Fatuma Mohammed (70) na Aziz Njakula (36) wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka ya wizi na kupatikana na gari la wizi aina ya Toyota Hiace...
Kutokana na gonjwa hili korofi kuripotiwa kushambulia nchini Kongo hivi karibuni, Wizara ya Afya imelazimika kutoa tahadhari mapema kwa watanzania ili kuweza kuchukua hatua za kujikinga na...
Watanzania wenzangu,kumiliki biashara/kampuni (kwa maana ya limited company) na kujiajiri ndiyo siri ya mafanikio kwa Tanzania ya leo.Chukua hatua na ufungue kampuni yako na ujiiunue kiuchumi...
Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii,jinsia ,Wazee na watoto imewatoa hofu watanzania kuhusu ugonjwa wa ebola ambao umeripotiwa katika nchi jirani ya DR Congo na kusema tayari imeanza kuchukua hatua...
Faru wetu maarufu mmoja marehemu na mwingine bado yuko hai, sijui waliitumia vigezo gani kuwaita majina ya Kizungu. Mfano Fausta ni jina la kilatini.
Kwanini sio faru Masanja, Faru Mwaipopo au...
Wana JF habarini Wakuu
Nina mengi najiuliza kuhusu KUVUNJWA CDA DODOMA jamani,,, ktk eneo langu pale mjini nililinunua kimila na nkafatilia saana CDA wanihalalishie umiliki lakini nikapigwa...
Wana Jf,
Taarifa iliyoripotiwa na acount ya twiter ya Swahili Times inaeleza kuwa mfanyabiashara Benedict Assey amekamtwa na Lita 4000 za kemikali ya kutengeneza madawa ya kulevya aina ya heroin...
Wakuu
HABARI zenu na imani wengi mu wazma wa afya na mnaendelea vyema na majukumu ya kimaendeleo na kwa wale ambao sio wazma poleni sana nawaombea mpone na muendelee na shughuli zenu
Takribani...
Magari mabovu..hayafai...mnnakodisha kwa wahuni Tuu ..tu..Kama Mwanao anasoma st.Mary's tafadhali fuatilia usafiri wa watoto ni zaidi ya kichefuchefu.
Kibaya zaidi mama rwakatare...
Habari wote,
Huu mtandao wa simu umekua na kero nyingi sana,
Kwa sasa ni hili jambo la kumpigia simu mtu kisha wao wanakuwekea tangazo la biashara kisha ndio wanakwambia kuwa anapatikana...
Ni kwamba katika hali isiyo ya kawaida kama si ya kushangaza imegundulika kuwa 99% ya Wanaume ambao husafiri na Mabasi ya Mikoani huwalazimisha Makondakta au Mawakala wa yale Mabasi wawapangie...
Nimekuwa nikifuatilia Dirisha la Usajili La NACTE kwa ukaribu ili niweze kumfanyia kijana maombi kama ilivyo ada sasa tangu watangaze litafunguliwa Tarehe 15/may 2017 hadi sasa bado chenga tu sina...
Hii barabara sasahivi hali ni mbaya kupita kiasi hasa ukizingatia magari mengi yanatumia hiyo njia. Zaidi ya mwezi sasa viliwekwa vifusi ambavyo mpaka leo havisambazwa mpaka vifusi vingine...
Hii nimekutana nayo sana tu hadi kunifanya nianze kuwashangaa ' Waswahili ' na pengine hata kudhani labda wana matatizo Vichwani mwao. Ni kwamba kila ukikutana na ' Mswahili / Mtanzania '...
Naomba kukupongeza sana kwa kauli yako uloitoa siku ukiwaapisha wakuu wa mikoa na baadhi ya wakuu wa wilaya ile ya vijana kucheza pool wazee kulima kiukweli juzi nilistaajabu baada ya kupita...
Tukisoma waraka unaoitwa: “Waraka wa elimu na. 4 wa mwaka 2014 kuhusu utayarishaji wa vifaa vya kujifunzia na kufundishia” – ambao mtu anaweza kuupata kwenye tovuti ya Taasisi ya Elimu (Tanzania...