Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katika mizunguko yangu Leo nilitaka kwenda wilaya mkuranga mjini then badae nifanye matembezi katika mji mdogo wilayani humo uitwao hoyo hoyo na badae nimalizie kijiji cha vikangara...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
E.g eee baba Mungu, tulinde na wezi,majambazi,watu wa dini wenye misimamo mikali, eee Mungu tusaidie, aamin.
2 Reactions
2 Replies
755 Views
Nimeshtuka sana nilipomsikia moja ya mtangazaji wa Radio Kili fm- Moshi asubuhi ya leo akisema Gaboni na Mali zipo karibu kabisa kama ilivyo Tanzania na Kenya... Tena alikuwa akitamka kwa...
5 Reactions
44 Replies
7K Views
Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete akikagua shamba lake la mahindi mapumzikoni Kijijini Msoga Leo
20 Reactions
82 Replies
20K Views
Ni ufumbuzi kwa maradhi mengi mliotumia na kupata matokeo toeni ushuhuda waweza wasaidia wengine wenye changamoto za maradhi.
0 Reactions
1 Replies
845 Views
Kundi la Lazarus ndilo kundi lenye kuheshimiwa zaidi kwa sasa duniani kwa kuwa na uwezo wa hali ya juu kabisa wa kuingilia mitandao mbalimbali na nyeti na kisha kudukua taarifa mbalimbali. Pia...
3 Reactions
19 Replies
4K Views
Mahakama ya Sharia katika mkoa wa Aceh nchini Indonesia, imewahukumu wanaume wawili kuchapwa viboko hadharani kwa kushiriki mapenzi ya jinsia moja. Wanaume hao walipatikana na hatia ya kukiuka...
0 Reactions
0 Replies
800 Views
Kule Kigamboni on your way to Dege, upande wa kushoto ndani ndani niliwahi kuona uwanja wa ndege mdogo nadhani wanauita air stripes. Ningependa kujua ni nani anayeumiliki uwanja huo...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Juzi baada ya simba kuingia mkataba na kampuni ya SportPesa kutoka kenya, leo Mo dewij kaibuka upya Kutokana na kwamba Dewij sio mgeni wa vilabu na soka la Tanzania, bila shaka drama za simba na...
10 Reactions
71 Replies
7K Views
Wadau, Mimi siku zote najiuliza kuwa kwa nini Russia hasa huyu Vladimin Putin alimsupport Sana Trump ili ashinde uchaguzi wa Marekani na kumponda bi Hilary Clinton, huyu Putin lengo lake kubwa...
1 Reactions
4 Replies
936 Views
'UPDATE: Watoto Wilson na Sadia walipowasili uwanja wa ndege mjini Sioux City, Iowa mapema usiku kuamkia leo Dkt Elias Mashalla wa Mt Meru hospital akiwapokea na kuwajulia hali WATOTO Sadia na...
15 Reactions
137 Replies
19K Views
Mimi nina hoja binafsi, kuna taasisi inakuwa na ndugu wa damu kabisa, wameajiriwa hapo, wanaweza kuwa wawili au hata watatu. Utakuta pia kuna Baba, Mama na Mtoto, au mke na mume n.k. Kwa maoni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wengi wakikufahamu kama Mr. Siri,ulifundisha wengi na wengi wanatumia notes zako za Accountancy.Ametutoka jana Mungu amlaze pema panapomstahili.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
UPDATE: May 17: MTOTO Sadia na MTOTO Wilson wote walifanyiwa UPASUAJI waliopaswa Jana. Kila MTOTO amewekwa kwenye chumba chake peke yake, na MAMA mzazi na NURSE Moja wanakuwa naye wakati WOTE...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakuu nipo njiani kuelekea Masaki katika kushuhudia kuagwa na atimaye mazishi ya aliyekuwa kiingozi wa Freemasonry Afrika Mashariki sir Andry Chande aliyefariki siku chache zilizopita...
46 Reactions
507 Replies
130K Views
nimepost thread yangu ya kumsifia The Bold Mpaka sasa ipo under moderation,tatizo ni nini?
0 Reactions
0 Replies
644 Views
Ushauri wa bure jamani startimes nao washitakiwe maana haiwezekani watumie mitambo yetu ya Tbc kuweka. vifaa vyao kwa level ya terrestrial. halafu bado wanatulipisha kila mwezi Hivi tbc...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Salaam wakuu. Nimeona leo tuweke mawazo hapa namna ambavyo mtu anaweza kukuibia gari yako: 1. Usiazimishe gari ovyo Kuazimisha gari kunafanya ufunguo wako kuwa popular/exposed (kufahamika) sana...
5 Reactions
9 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…