Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,206
- 2,043
Habari za Asubuhi Ndugu na jamaa zangu wa jf.Matumaini yangu wote Ni wazima wa afya,poleni na ugumu wa maisha Katika kipindi kigumu cha JPM.Lakini kwa upande wangu naiona Tanzania mpya inakuja.
Tuache hayo nije kwenye dhumuni la andiko hili........
Ilikuwa ni mwaka 2014 nilipoanza kazi Katika mkoa Fulani hapa Tanzania.Nilifurahi Mara baada ya kusikia nimepata kazi na kushukuru sana kwani nimetoka katika mikono ya wazazi.Age yangu ni miaka 27 kwa sasa.
Mara baada ya kuripoti katika kituo cha kazi na kupangiwa majukumu yangu,nashukuru karibu na eneo la kazi kulikuwa na kota/nyumba za wafanya kazi kwa hiyo kidume nikapatiwa apartment yangu.Ikumbukwe nimetoka dar es salaam hivyo full swagger yaani katupia mapamba ya kinyamwezi. Basi mademu wakawa wanashoboka kinoma ,mimi sikulemba niliwagonga vizuri sana.
Kuna mama ni mfanyakazi mwenzangu ambaye tunaishi jirani kusema kweli nilimuheshimu sana kama mama yangu mzazi. Huyu mama alikuwa anapenda sana niwe naenda nyumbani kwake kupiga story,Kumbe alikuwa na mtoto wake ambaye alikuwa anasoma kidato cha 6 Arusha.Kuna wakati alipolejea nyumbani kipindi cha likizo basi akaanzisha mazoea na mimi. Bila kuchelewa nikatia vocals mtoto akaelewa nikawa nakula mzigo kama kawaida yangu.
Mi nilikuwa nazuga tu kwake kumbe mtoto alikolea kwa penzi la mnyamwezi,usiku alikuwa anatoroka anakuja geto napiga mzigo kama kawa.Nilidumu nae karibu miezi 6 hivi nikaanza kumtema/kumuacha taratibu bila mwenyewe kujuwa.Alipogundua akawa anatukana kila siku akifika home kwangu.Kumbe mama ake alikuwa anajuwa kila kitu kuhusu mahusiano yetu,akaanza kupeleka habari hizi kwa mwajiri/mkurugenzi wetu kazini. Sasa ameahidi atanifanyia kila hila hadi nifukuzwe kazi.
Mimi sipo tayari kukosa kazi wanandugu naomba msaada wenu nifanyeje ili nifanye kazi yangu kwa amani, naomba mnisamehe kwa maelezo marefu....