SURA YA TISA
MIKUSANYIKO ISIYO HALALI NA GHASIA NA MAKOSA MENGINE DHIDI YA UTULIVU WA UMMA
74.(1) Wakati ambapo watu watatu au zaidi wanakusanyika kwa nia ya kutaka kutenda
kosa, au wakiwa wamekusanyika kwa kutimiza madhumuni fulani kwa pamoja, wakajiweka katika hali ambayo itawafanya watu walio jirani wawe na sababu ya kuogopa kwamba watu hao waliokusanyika watavunja amani, au kwa kukusanyika kwao kutachochea, bila ya sababu ya maana, watu wengine wavunje amani, mkusanyiko huo utakuwa mkusanyiko usio halali
(2) Haijalishi kama mkusanyiko wa mwanzo ulikuwa halali iwapo katika kukusanyika walijiweka kwa madhumuni ya pamoja kwa namna iliyokwisha tajwa katika kifungu kidogo cha (1).
(3) Mkusanyiko usio halali unapoanza kutimiliza madhumuni ya mkusanyiko kwa njia ya kuvunja amani na vitisho kwa umma, mkusanyiko huo utaitwa ghasia na watu waliokusanyika watasemwa kuwa wamekusanyika kwa ajili ya ghasia.
75. Mtu yeyote atakayeshiriki katika mkusanyiko usio halali atakuwa ametenda kosa na atawajibika kwa adhabu ya kifungo cha mwaka mmoja.
BADO NATAFUTA KOSA LA WALIOKAMATWA ARUSHA WALIOKWENDA KUTOA RAMBIRAMBI ZAO SHULENI LUCKY VICENT, ETI WALIKUWA KATIKA MKUSANYIKO USIO HALALI, LAKINI NASHINDWA KUELEWA!!