ZigiZaga
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 951
- 1,071
Nimawazo yangu tu! Laana ni hadhabu,mateso, maangaiko anayopata MTU baada ya kudanya jabo ambalo ni kinyume Na mila, tamaduni Na miiko ya jamii Fulani! Mara nyingi laana hutolewa Na wazazi, kundi la watu Na hata Mungu pia anaweza kukupiga laana!
Laana INA matokeo mengi, namengi huwa yananaonekana hadharan yaani hayajifichi, kila MTU anayaona!
Lambilambi hasa kwa mila zetu kule majita mkoani Mara nikitu cha kuogopwa sana Na hukusanywa Na wazee wanaoheshimika katika jamii" ambhakaruka" mtoto mdogo haruhusiwi kabisa kuigusa hats kuisogelea tu nikosa kubwa,!!! Na yule anaejaribu kuidokoa huchanganyikiwa hapohapo kwahiyo Kule kwetu lambilambi ni kitu cha kuogopwa sana!!!!
Nimeandika yote haya nikiona mbali laana inayomunyemelea mkuu wa mkoa wa Arusha Na wengine waliohusika kwa namna moja kudokoa lambilambi kama nikweli!
Katika dunia hii hakuna aliyepona hata kidogo kwa kula lambilambi tena ya majeneza 36 kweliii!!!, Muda utaongea!
Mods huu Uzi ubaki kwa rejea hata kama ni miaka mia, natumai jf itakwepo, Na wahakikishia miaka hiyo haitafika bila Gambo nawezake walioshiriki kula lambilambi kulaanika!
Mungu wa Elia Fanya kitu kwa hawa watu! Muda utaongea!!!!!