Robinhomtoto
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 238
- 244
Nakumbuka Mara tu habari za ajali kusikika Serikali ilitangaza kuwa msiba ule ni wa Kitaifa Na kwamba itaugharamia.Mpaka Leo sijajua Mchango wa Serikali wa Fedha zake ni kiasi gani?Ili kuondoa utata uliopo Juu ya fedha za wananchi Na Taasisi sh.215,000,000/=kuwa hawakupewa kama zilizo wafiwa Serikali iseme ilizotoa.