BlackBox
Senior Member
- Nov 26, 2016
- 109
- 78
Jamani leo nimeona maajabu wakati nimepasua yai LA kuku nimelipata na viini viwili, muonekano wa yai lenyewe lilionekana kubwa kuliko kawaida, nimeshindwa kula maana tokea nimezaliwa sijawahi kuona kitu kama hicho. Kama umeshawai kuona njoo utujuze nasisi hapa tupate kuelewa.