NSSF wakatiwa umeme na TANESCO, washindwa kuwasha genereta

CURIOSITY_200

JF-Expert Member
Sep 25, 2016
320
260
Tunaendelea kusoma number kubwa kubwa, sasa ni zamu ya NSSF, wamefika mahali jengo lao la Mwl Nyerere pension tower halina umeme wa Tanesco na mbaya zaidi hata generator yao wameshindwa kuweka mafuta.

Ajabu zaidi rent wanachukua in terms of US dollars and they can not afford to maintain just electricity service. Seriously the other day I heard someone asking to them to focus on VIWONDER. As a country we have a very long way to go to modern civilisations.
 
Safi sana
 
We kiumbe huna tatizo maana hukupewa fursa ya kuchagua genetics zako, so pengine tulauma genetics kwa akili ulinayo

Ha ha haaaaa

Umechapia zaidi ya mara moja, acha ubishi eeeeh na hayo yote uliyoandika umechapia... ukijua wapi edit.... ha ha haaaa hizo zako ndio zinakupa kuchemsha lugha ya watu sizitaki loooooo eeeeh

Kuna websites zinasaidia kufundisha kamalizie data huko... mie mswahili bado najifunza kiswahili.
 
Nilishasema siyo tatizo lako na bahati mbaya ndo mnaongoza kwa idadi yaani nyie ndo majority of more than 80% of total population of Tz and the world
 
Mwalimu wa bailojia ashukuliwe na kukutoa kiaina katika somo si ulijua pia juu ya kromosomu au!? Sasa si mifano mingi hutumia X, Y kwa wewe naona tutachambua na mfano wa W,X,Y,Z.

Sielewi kwanini watanzania kama wewe huwa wabishi, badala ushukuru juu ya kukutonya kuwa kimombo kimepinda sehemu sehemu ulivyoandika ukaniuliza nikuandikie ipasavyo.. unakuja na juu ya baiolojia... ungeshukuru tu au kukaa kimya kabisa. Wengi wabishi utafikiri humu wanaonwa na kila mdau, kama vile wanayeandikiana kama hawajuana ID zao basi watamjua. Ila najua wengi wenzenu wanajua ID so hamtaki ukweli.

Mkubali kukosolewa tena nimetumia akili bila kukuaibisha unakuja na maneno makali juu yangu. Haya endelea ila usisahau hata wazungu wanatumiaga dictionary na mengine haswa kwa miaka hii kucheki mambo mitandaoni kama kurekebisha sentensi... kujifunza ni sifa kuliko ubishi na kubaki kukosea

Kama sisi tunavyotumia kamusi kujifunza zaidi kwenye lugha yetu pendwa kiswahili, ninachoongea baada ya kabila langu.

CIAO
 
Afadhali na hzi taasisi kubwa wakatiwe tu maana hawalipi na hela wanazo Tanesco wamebaki kutuumiza walala hoi tunaotumia umeme majumbani ili kukidhi matatizo yao, kila siku bei zinapanda waokoe jahazi kuna mitaasisimikubwa inapata huduma za bure, kwa hili mkuu umesema vyema..maneno ni mawili tu KA..TA , safi sana.
 
Hela zote zimechukuliwa na jamaa wa rambirambi so hata za mafuta hawana duuu!!
 
Mwalimu wa bailojia ashukuliwe na kukutoa kiaina katika somo si ulijua pia juu ya kromosomu au!? Sasa si mifano mingi hutumia X, Y kwa wewe naona tutachambua na mfano wa W,X,Y,Z.

Sielewi kwanini watanzania kama wewe huwa wabishi, badala ushukuru juu ya kukutonya kuwa kimombo kimepinda sehemu sehemu ulivyoandika ukaniuliza nikuandikie ipasavyo.. unakuja na juu ya baiolojia... ungeshukuru tu au kukaa kimya kabisa. Wengi wabishi utafikiri humu wanaonwa na kila mdau, kama vile wanayeandikiana kama hawajuana ID zao basi watamjua. Ila najua wengi wenzenu wanajua ID so hamtaki ukweli.

Mkubali kukosolewa tena nimetumia akili bila kukuaibisha unakuja na maneno makali juu yangu. Haya endelea ila usisahau hata wazungu wanatumiaga dictionary na mengine haswa kwa miaka hii kucheki mambo mitandaoni kama kurekebisha sentensi... kujifunza ni sifa kuliko ubishi na kubaki kukosea

Kama sisi tunavyotumia kamusi kujifunza zaidi kwenye lugha yetu pendwa kiswahili, ninachoongea baada ya kabila langu.

CIAO
hawajuana na wanatumiaga ndio lugha gani hiyo?
 
Back
Top Bottom