Wizi Mkubwa katika Kulipa Kodi ya Ardhi Manispaa ya Musoma

Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,373
6,084
Naomba Waziri wa Ardhi ndugu Lukuvi afatilie kwa makini maofisa wake wa ardhi katika manispaa ya Musoma ambao wanawalipisha kodi ya ardhi wananchi kwa kuongeza gharama halafu baada ya mtu kutoa kitu kidogo ndiyo wanakulipisha gharama halisi.
Natoa mfano:
Mwaka 2012/13 Rent 105000 Interest 56000 Total 161000
Mwaka 2013/14 Rent.105000 Interest 44000 Total 159000
Mwaka 2014/15 Rent. 105000. Interest. 29000 Total 144000
Mwaka 2015/16 Rent 78000. Interest 33000 Total. 121000
Mwaka.2015/17. Rent. 78000. Interest 10000 Total 88000

Wataalamu wa mahesabu muangalie hiyo hesabu ya kila mwaka unashindwa kujua wametumia vigezo gani.
 
Back
Top Bottom