Naomba kufahamishwa blogu/tovuti ninazoweza kupata historia za watu mashuhuri duniani

Apr 22, 2017
26
3
Naomba mnifahamishe blog ambayo unaweza kupata historia za watu mbalimbali mashuhuri duniani maana napenda kufuatilia historia zaooo please naomba kufahamishwa msaada zaidi naombaaa thanks
 
Anzisha mada hapa utapata kile utakacho, kuna watu wa aina mbalimbali hapa hakuna kinachoshindikana.

Kwa msaada zaidi tembelea Jukwaa la Historia huko utamkuta mzee Mohamed Said sema huyo ana udini na madandiko yake yote yanaegamia upande mmoja. Hao nakujuna kyoma.
 
Back
Top Bottom