Huruma imeniponzaa ndugu zangu

tajiri wa mwanza

Senior Member
Mar 1, 2017
138
226
Habari hapa jamvini
Leo katika shughuli zangu kila siku mjini nmekutana na hichi kisanga au aibuu naweza kusema mida ya saa 4 asubuhi nimeokota begi ambalo lilikuwa limejaa pesa nyingi karibu hata milioni 20 pamoja na vitambulisho vya jamaa flani Muhindi pamoja kulikuwa na madin mule kwa begi kiukweli nilivyo funua begi nilitetemeka kweli nikarudi mpaka geto kwa wife nikamwambia

Kwa kuwa wife kashika dini akasema tumrudishie mwenywe fedha haramu poa na mimi sijazoea kula hela za mtu kwa kuwa mule kwa beg kuna ID za jamaa ikawa rahisi kumpata nkitegemea atanpa hata fedha kidog kwa utu wangu

Duuh nlivo kuana nae kwanza yako na police dah akanifata akakwapua mkoba kwa nguvu kisha akaangalia alipo maliza mbele ya mke wangu akaninasa kibaoo AF akanambia utakufa masikini mbwa wewe dah nlipigwa na butwaa ka dakka ivi mke Wang pia AF jamaa akaondoka bila kunipa hta kumi dah
 
3c8aa44040bff77dc6d29fe0561c71f3.jpg
 
Habari hapa jamvini
Leo ktk shughuli zangu kila siku mjini nmekutana na hichi kisanga au aibuu naweza kusema mida ya saa 4 asubuhi nmeokota begi ambalo lilikuwa limejaa pesa nying karibu hata mil 20 pamoja na vitambulisho vya jamaa flan muhindi pamoja kulikuwa na madin mule kwa begi kiukwl nlivo funua beg niliteteka kwl nkarud paka geto kwa yf nkamwambia
Kwa kuwa yf kashika dini akasema tumrudishie mwenywe fedha haramu poa na mimi sijazoea kula hela za mtu kwa kuwa mule kwa beg kuna Id za jamaa ikawa rahis kumpata nkitegemea atanpa hata fedha kidog kwa utu wangu
Duuh nlivo kuana nae kwanza yko na police dah akanifata akakwapua mkoba kwa nguvu kisha akaangalia alipo maliza mbele ya mke wangu akaninasa kibaoo AF akanambia utakufa masikini mbwa wewe dah nlipigwa na butwaa ka dakka ivi mke Wang pia AF jamaa akaondoka bila kunipa hta kumi dah kwl
Wewe ndiyo unaroho mbaya kurudisha mzigo ulioshushiwa kutoka juu
Zamani kuna kawimbo tulikuwa tunaimba na pia wahenga walisema " chakuokota si cha kuiba mwenye mali ni ...........................................
 
b
Habari hapa jamvini
Leo ktk shughuli zangu kila siku mjini nmekutana na hichi kisanga au aibuu naweza kusema mida ya saa 4 asubuhi nmeokota begi ambalo lilikuwa limejaa pesa nying karibu hata mil 20 pamoja na vitambulisho vya jamaa flan muhindi pamoja kulikuwa na madin mule kwa begi kiukwl nlivo funua beg niliteteka kwl nkarud paka geto kwa yf nkamwambia
Kwa kuwa yf kashika dini akasema tumrudishie mwenywe fedha haramu poa na mimi sijazoea kula hela za mtu kwa kuwa mule kwa beg kuna Id za jamaa ikawa rahis kumpata nkitegemea atanpa hata fedha kidog kwa utu wangu
Duuh nlivo kuana nae kwanza yko na police dah akanifata akakwapua mkoba kwa nguvu kisha akaangalia alipo maliza mbele ya mke wangu akaninasa kibaoo AF akanambia utakufa masikini mbwa wewe dah nlipigwa na butwaa ka dakka ivi mke Wang pia AF jamaa akaondoka bila kunipa hta kumi dah kwl wahindi wana roho mbya

bora umemrudishia, ilikuwa kafara hiyo, wewe na kizazi chako mgejuta
 
Hakuwekwa chini ya ulinzi kwa shambulio la mwili (kukunasa kibao)?
 
Kama uliweza kukadiria milioni 20 kwa macho Wewe sio mgeni wa pesa.
Utata ni jinsi gani ukashindwa kugundua ugumu wa kuzirudisha??. Hapa ninahakika unaota na hujui wapi utapata chakula cha Leo.
 
Back
Top Bottom